Header Ads

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KUWEIT LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma Maalim wakati Balozi Mahadhi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu   Dar es salaam leo Februari 25, 2016 kwa ajili ya kujitambulisha. 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma Maalim wakati Balozi Mahadhi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu  Dar es salaam leo Februari 25, 2016 kwa ajili ya kujitambulisha. (Picha na OMR)

No comments:

Powered by Blogger.