BIBI ABIOLA DELUPE MWAKILISHI WA UBALOZI WA NIGERIA AITEMBELEA EFM
Mwakilishi wa ubalozi wa Nigeria, bibi Abiola Delupe aitembelea
Efm Radio leo katika vitengo tofauti na kuona utendaji kazi wa radio.
Huku akikutana na baadhi ya watangaziji kujadili mambo tofauti tofauti
na jinsi watakavyo weza kuendeleza kazi zoa nje ya mipaka ya Tanzania.
Meneja mkuu Dennis Ssebbo akijadili mambo tofauti kuhusiana na ufanisi wa kazi katika radio hiyo.
Bibi Abiola Delupe (Kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Efm radio Francis Ciza.
Baadhi ya viogozi wa Efm Radio katika mazungumzo na Bibi Abiola Delupe.
Bibi Abiola Delupe akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Efm radio Francis Ciza.
No comments:
Post a Comment