NAPE ATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI BUJORA PAMOJA NA CHUO CHA MAENDELEO YA MICHEZO MALYA MKOANI MWANZA
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia)
akikaribishwa kwenye kituo cha utamaduni wa Kisukuma Bujora na Mlezi na
Mshauri wa kituo cha utamaduni pamoja na machifu wa Kisukuma Jaji
Mstaafu Mark Bomani
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (katikati)
akizungumza na Machifu wa kisukuma kwenye kituo cha Utamaduni Bujora,
kulia pichani ni Jaji Mstaafu Mark Bomani na kushoto ni Chifu Charles
Kafipa wa Bukumbi mkoani Mwanza.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo
juu ya nyumba za asili za wasukuma kutoka kwa Mkurugenzi wa kituo cha
Utamaduni wa Kisukuma Padri Fabian Mhoja.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia
hesabu za kisukuma kwenye kituo cha Bujora mkoani Mwanza.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo
juu ya utamaduni wa kucheza bao kwenye kituo cha Utamaduni wa kisukuma
Bujora.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia zana
mbali mbali za kiasili kwenye nyumba ya utamaduni Bujora.
No comments:
Post a Comment