Header Ads

WACHINA WAONYESHA UTAMADUNI WAO TANZANIA

ci1 
Kikundi cha wanamuziki kutoka China kikitumbuhiza wakati wa Tamasha la Forbidden City Chamber Orchestra lililofanyika katika ukumbi wa maonyesho wa Makumbusho ya Taifa jana jijini Dar es Salaam.Tamasha hilo lilikuwa maalumu kufuatia kuzinduliwa rasmi kwa Kituo cha Utamaduni wa China hapa nchini.
ci2 
Msanii wa kundi la Zijincheng kutoka Chuo Kikuu cha Sanaa cha China Di Yang akionyesha umahiri wa kutumia vifaa vya muziki wakati wa Tamasha la Forbidden City Chamber Orchestra lililofanyika katika ukumbi wa maonyesho wa Makumbusho ya Taifa jana jijini Dar es Salaam.Tamasha hilo lilikuwa maalumu kufuatia kuzinduliwa rasmi kwa Kituo cha Utamaduni wa watu wa China hapa nchini.
ci3 
Msanii wa kundi la Zijincheng kutoka Chuo Kikuu cha Sanaa cha China Yang Jing akionyesha umahiri wa kutumia vifaa vya muziki wakati wa Tamasha la Forbidden City Chamber Orchestra lililofanyika katika ukumbi wa maonyesho wa Makumbusho ya Taifa jana jijini Dar es Salaam.Tamasha hilo lilikuwa maalumu kufuatia kuzinduliwa rasmi kwa Kituo cha Utamaduni wa watu wa China hapa nchini.
ci4 
Mkuu wa Kituo cha Utamaduni wa Watu wa China nchini Tanzania Bw. Gao Wei (watano kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wanamuziki wa kundi la Zijincheng kutoka Chuo Kikuu cha Sanaa cha China. Kundi hilo linaundwa na wanazuoni na watafiti wa muziki wa asili nchini China.Picha na Frank Shija, WHVUM

No comments:

Powered by Blogger.