MELI MPYA YA MV. MAPINDUZI II YAWASILI BANDARI KUU YA ZANZIBAR.
Baadhi ya
wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu waliofika Bandari Kuu ya Zanzibar
kushuhudia kuwasili kwa Meli mpya ya MV. MAPINDUZI II ikitokea Korea
kusini.
Meli mpya ya MV. MAPINDUZI II ikiwa nje kidogo ya Bandari ya Zanzibar kabla ya kufunga gati Bandarini hapo.
Waziri
wa Fedha Omar Yussuf Mzee akitoa maelezo kwa waandishi wa Habari juu ya
matumizi ya gharama zilizotumika mara baada ya kuwasili kwa Meli ya MV.
MAPINDUZI II Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment