RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI MAHONDA LEO.
Hili
ni jengo la Kiwanda cha Sukari cha Mahonda ambalo linamitambo mbali
mbali ambayo inafanyiwa ukarabati wa hali ya juu na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,na baadae mitambo hiyo iweze kuzalisha Sukari itakayouzwa ndani na Nje ya Nchi,Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Sheinleo alitembelea na kuona hali ya ukarabati huo akiwa katika ziara
maalum,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akipata maelezo wakati alipofuatana Meneja wa Kiwanda
cha Sukari cha Mahonda Bw.Rajesh Kumar (katikati) alipotembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja,(kulia) Meneja mradi Tushar MEHTA.
Baadhi ya Mashine katika kiwanda cha Sukari cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B. Unguja,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiambatana na Viongozi mbali mbali wa Serikali alitembelea kiwanda
hicho leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akionesha kitu wakati alipotembelea kiwanda cha Sukari cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B. Unguja leo ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,akiwa katika ziara aliyofuatana na Viongozi mbali mbali wa Serikali.
Majengo
ya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda kiliopo Wilaya ya Kaskazini B.Unguja
yakiwa katika hali hiyo inanyoonekana pichani katika ukarabati
unaofanywa na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment