JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MAKAO MAKUU YA CCM OFISI NDOGO LUMUMBA
Mwenyekiti
wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu maalum kwenye ofisi za Makao
Makuu ya Chama , Ofisi Ndogo Lumumba, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakati wa kikao hicho.…

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wajumbe wa Kamati Kuu
ya CCM wakati wa kikao hicho.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Taifa
Ndugu Abdulrahman Kinana wakipitia baadhi ya ajenda kabla ya kuanza kwa
kikao cha Kamati Kuu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa taarifa za
mahudhurio ya kikao kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu
kilichofanyika kwenye ofisi za CCM Lumumba, jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati Kuu wakipitia makabrasha yenye ajenda za kikao muda mfupi kabla kikao hakijaanza.
No comments:
Post a Comment