RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA KUULIA MAZALIA YA MBU

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia
wakiangalia uzalishaji wa viuadudu vya mbu wanaoeneza Malaria kilichopo
eneo la viwanda TAMCO kibaha,Mkoani Pwani leo muda mfupi baada ya
uzinduzi rasmi leo.

uzinduzi rasmi leo.(Picha na Freddy Maro).

Waziri
Mkuu wa Ethiopia na Mwenyekiti wa Viongozi wa Afrika katika Mapambano
dhidi ya Malaria Mh.Hailemariam Dessalegn na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakifungua jiwe la msingi wakati
wa hafla ya uzinduzi wa kiwanda cha kuzalisha viuadudu vya kuua
viluwiluwi vya mbu wanaoeneza malaria leo mkoani Pwani.

Waziri
Mkuu wa Ethiopia na Mwenyekiti wa Viongozi wa Afrika katika Mapambano
dhidi ya Malaria Mh.Hailemariam Dessalegn na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakikata utepe kuashiria
uzinduzi wa kiwanda cha kuzalisha viuadudu vya kuua viluwiluwi vya mbu
wanaoeneza malaria, leo mkoani Pwani.

Waziri
Mkuu wa Ethiopia na Mwenyekiti wa Viongozi wa Afrika katika Mapambano
dhidi ya Malaria Mh.Hailemariam Dessalegn na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na
viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo, leo mkoani Pwani.
No comments:
Post a Comment