Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza

Meneja
Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na
kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel
Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia
katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar
es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome.
Wengine ni ndugu zake Mrisho.

Meneja
Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati),
akimkabidhi jokofu kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) mkazi wa
Kinondoni aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali
kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza
vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia kushoto ni Ofisa
Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki. Wengine ni ndugu zake
Mrisho.

Meneja
Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akimkabidhi
mtungi wa gesi kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na
Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya
kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na
juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho,
Amina Lugome. Kushoto ni Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio
Kaniki.

Meneja
Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akimkabidhi
seti ya glasi kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na
Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya
kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na
juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho,
Amina Lugome. Kushoto ni Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio
Kaniki.

Meneja
Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi akipiga makofi pamoja
na jamaa zake na Mariam Mrisho wakati wa hafla ya kumkabidhi vifaa
hivyo. Kwa habari kamili ya hafla hii BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment