ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA LEO JIMBO LA NYAMAGANA,KESHO KUUNGURUMA LIVE JIMBO LA ILEMELA JIJINI MWANZA I

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasli katika Uwanja
wa CCM Kirumba, kuzungumza na Mamalishe, Machinga na waendesha bodaboda, akiwa
katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama, katika
jimbo la Nyamaagana mkoani Mwanza leo.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na
mamalishe, wamachinga na waendesha bodaboda alipokutana nao kuzungumzia
maendeleo ya shughuli zao, katika Uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza leo.

Baadhi ya
wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Nyamagana, wakimsikiliza Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Benki
Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Mwanza

Wananchi wakiwa
wamesimama juu ya daraja la zamani, wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana alipokagua ujenzi wa daraja la Isegenge katika Kata ya Mahina, akiwa
katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama jimbo la
Nyamagana, mkoani Mwanza leo

Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana akizindua ujezi wa daraja la Isegenge katika Kata
ya Mahina, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa
Chama jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo

Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wananchi mara baada ya kukagua ujenzi wa daraja la Isegenge katika Kata
ya Mahina, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa
Chama jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo

Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wake wa hadhara
uliofanyika katika eneo la soko la Igoma, akiwa katika ziara ya kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana mkoani
Mwanza leo.

Katibu
Mkuu
wa CCM, Abdulrahman Kinana na msafara wake wakiondoka katika eneo la
mradi wa maji mara baada ya kuukagua na kupata maelezo mafupi juu ya
mradi huo wa maji wa
Fumagila katika Kata ya Kishiri, akiwa katika ziara ya kukagua
utekelezaji
ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza
leo.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua Ofisi ya
CCM Kata ya Buhongwa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani
ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo

Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika mkutano wa hadhara aliofanya baada
ya kuzindua Ofisi ya CCM Kata ya Buhongwa, akiwa katika ziara ya kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana, mkoani
Mwanza leo

Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwasili kuzindua Shina la wakereketwa wa CCM
ambao ni wajasiriamali na waendesha bodaboda katika kata ya
Nyegezi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa
Chama katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza leo.

Katibu Mkuu wa
CCM Abdulrahman Kinana akizungumza baada ya kuzindua Shina la wakereketwa wa
CCM ambao ni wajasiriamali na waendesha bodaboda katika kata ya
Nyegezi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa
Chama katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza leo .

Katibu wa
NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakati wa uzinduzi Ofisi ya CCM
Kata ya Buhongwa, Kinana akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya
CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo

Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wake
wa hadhara uliofanyika katika eneo la soko la Igoma, akiwa katika ziara
ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la
Nyamagana mkoani Mwanza leo.
No comments:
Post a Comment