WANAHABARI WASHINDANA KUTAMBUA LADHA ZA BIA ZA TBL DAR
Mpishi
Mkuu / Brew Master Kiwanda cha Bia cha TBL, Dar es Salaam, Bw. Benjamin
Budigila (kulia), akitoa maelezo kwa waandishi wa habari walipotembelea
kiwanda cha kampuni hiyo baada ya semina ya siku moja kuhusu matumizi
ya pombe kupita kiasi.
Mpishi
Mkuu / Brew Master Kiwanda cha Bia cha TBL, Dar es Salaam, Benjamin
Budigila akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi wanavyotumia mtandao wa
Komputa kuhakiki viwango katika suala zima la uzalishaji wa vinywaji wa
kampuni hiyo.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mush, akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu shindano maalumu la kutambua harufu na radha
ya aina ya Bia zinazotengenezwa na TBL.
No comments:
Post a Comment