SHAMSA AWAKANDIA MABWANA ZAKE
Hamida hassanSTAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameibuka na kuwakandia mabwana aliowahi kutoka nao kimapenzi na kusema kuwa ni wababaishaji na sasa ni bora atafute mwanaume wa kumuoa.
Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford.“Wengi niliowahi kuwa nao ni wababaishaji tu na wala sikuona mwanaume wa kuweza kunioa. Kwa sasa nimeshakua mtu mzima na…
Hamida hassan STAA
wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameibuka na kuwakandia mabwana
aliowahi kutoka nao kimapenzi na kusema kuwa ni wababaishaji na sasa ni
bora atafute mwanaume wa kumuoa.
Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford.“Wengi niliowahi kuwa nao ni wababaishaji tu na wala sikuona mwanaume wa kuweza kunioa. Kwa sasa nimeshakua mtu mzima na ikitokea wa kunioa nipo tayari,” alisema Shamsa.
Awali Shamsa alikuwa akitoka na mtu aliyetambulika kama Dick na kupata naye mtoto mmoja, baada ya hapo ilidaiwa bidada huyo kaingia kwenye uhusiano na Nay wa Mitego.
No comments:
Post a Comment