MSIKITI WA GADDAFI DODOMA WAMSHUKURU MEMBE

Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kulia) akimtambulisha
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
(katikati), kwa waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati
waumini hao walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada
zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa
aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Diwani
wa Kwadelo, Alhaj Omary Kariati.

Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani akimtambulisha Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili
kushoto), kwa waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati

Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza
na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini hao,
walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika
kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa
Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akiagana na waumini
wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini hao
walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika
kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa
Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Sheikh Mkuu wa
Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani.
No comments:
Post a Comment