MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA) YAZUNGUMZIA MAFANIKIO NA MIRADI YAKE MBALIMBALI
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Suleiman Suleiman,
akizungumza na waandishi wa habari katika banda la mamlaka hiyo kwenye
maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yanayoendelea viwanja vya Mnazi
Mmoja Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa
na TAA pamoja na miradi yao.
Mkurugenzi
wa Rasilimali Watu na Utawala wa TAA, Laurent Mwigune (kulia),
akizungumza na wanahabari kuhusu shughuli zinazofanywa na TAA.
Kamanda
Msaidizi wa Kikosi cha Zimamoto Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere, Kamishna Msaidizi, Mpemba Magogo (katikati), akizungumza na
waandishi habari kuhusu kazi za uokoaji pale unapotokea moto. Kulia ni
Koplo, Brian John wa Kikosi hicho cha Zimamoto.
No comments:
Post a Comment