LOWASSA AZOA WADHAMINI 3,000 GEITA, CHATO NAKO APATA WA KUTOSHA
![]() |
Waziri
Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono
maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani
Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba
kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa
kufanyika Oktoba 25, 2015; (Picha zote na K-VIS MEDIA)
|
![]() |
| Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge a Monduli, Mh. Edward Lowassa, akipokea fomu za udhamini za CCM baada ya ,kujazwa na wananchama wa CCM wilaya ya Geita, kwenye ukumbi wa CCM wilayani humo Juni 8, 2015. Mheshimiwa Lowassa, amedhaminiwa na jumla ya wanachama 3,000 wilayuani hapo |
![]() |
| Wakazi wa wilaya ya Geita, wakiwa juu ya nyumba na juu ya mti (picha ya chini), ili kumuona Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa, alipowasili kwenye ofisi za CCM wilayani Geita, Juni 8, 2015 kuomba wana CCM wamdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015 |



No comments:
Post a Comment