KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE ATEMBELEA VISIWA VINNE WILAYANI MULEBA MKOANI KAGERA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Mpira wa Muleba mjini mkoani Kagera
KTIBU
NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia wananchi katika
mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana uliofanyika
leo kwenye Uwanja wa Mpira wa Muleba mjini mkoani Kagera.

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia wenyeji wao wa kisiwa cha Iroba-Bumbile
walipokuwa wakiwasili.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
wakiwasili kwenye Kisiwa cha Iroba-Bumbile wilayani Muleba mkoani
kagera,nyuma yake ni Katibu wa NEC,Itikadi na Unezi Nape Nanauye.

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Mh. Profesa Anna Tibaijuka wakijadiliana jambo katika boti wakati wakijiandaa kusafiri kwenda kisiwa cha Iroba-Bumbile,wilayani humo mkoani Kagera.

Sehemu ya umati wa watu kwenye mkutano huo wa Katibu Mkuu wa CCM.
Mbunge wa
Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, akiwahutubia wananchi wake kwenye mkutano wa hadhara
uliofayika kijiji cha Katunguru, leo kwenye Uwanja wa Mpira wa Muleba mjini mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisalimiana na Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akisaini kitabu ha ugeni
Pichani
kati ni Prof Anna Tibaijuka akiwakaribisha wageni wake walipowasili
eneo la bandari ya Katungura pamoa katibu wa Naec Taidana kukia ni 
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na ujumbe wake wakipewa maelekezo mafupi kabla
ya kuondoka kuelekea kwenye kisiwa cha Iroba-Bumbile kwenda kuwasalimia
wananchi na kusikiliza matatizo yao pamoja na kuyatafutia ufumbuzi.
Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka kijiji cha Kywamkwikwi kwenda
Kisiwa cha Iroba-Bumbile
Mbunge
wa Jimbo la Muleba Kusini Ndugu Prof.Anna Tibaijuka akifafanua jambo
kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana pamoja Katibu wa NEC Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye.
Sehemu ya eneo la Kisiwa cha Iroba -Bumbile kama kionekavyo pichani.
Baadhi ya Wananchi wakisubiri kupokea msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na ujumbe wake.







Katibu wa NEC Itikadi na Uenexi Nape Nnauye Ndugu Kinana akiwahutubia wananchi wa kisiwa cha Iroba-Bumbile wilaynai Bumbile
Ndugu Kinana akiwahutubia wananchi wa kisiwa cha Iroba-Bumbile wilaynai Bumbile




Sehemu ya umati watu waliokuwa wamekusanyika kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment