NEWZ ALERT:UCHAGUZI MKUU WA BURUNDI WAAHAIRISHWA KWA MUDA USIOJULIKANA.

Rais kikwete alipohutubia waandishi wa habari Dar es Salaam akiandamana na Rais Nkurunzinza.PICHA KWA HISANI YA BBC SWAHILI
Uchaguzi
mkuu wa Burundi umeahirishwa kwa muda usiojulikana,kwa sasa vyama vyote
vya siasa vya Burundi vitaitwa kujadili mezani kwa amani na kisha
utaitishwa mkutano wa wakuu wa EAC kupitia mapendekezo ya mkutano huo wa
vyama vya siasa ili kufikia maafikiano,pia EAC wamelaani vikali jaribio
la mapinduzi Burundi.@Jakaya Mrisho Kikwete.
No comments:
Post a Comment