Header Ads

Burundi imethibitisha Rais Nkurunziza aliingia nchini humo


#‎BREAKING‬  ya taifa Burundi imethibitisha Rais Nkurunziza aliingia nchini humo saa kadhaa zilizopita, yuko mkoani kwao Ngozi, anatarajiwa kulihutubia taifa muda wowote kutoka sasa, mwandishi wa habari aliyeko Bujumbura ameripoti sasa hivi.

No comments:

Powered by Blogger.