Header Ads

BREAKING NEWS: Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imewaondolea adhabu ya kufungiwa makada wake sita




BREAKING NEWS: Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imewaondolea adhabu ya kufungiwa makada wake sita iliyokuwa imewapatia kutokana na kutenda kosa la kuanza kampeni za uchaguzi mapema.
Makada hao walioondolewa adhabu hiyo ni pamoja na mawaziri wakuu wastaafu, Edward Lowassa, Frederick Sumaye, Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, Waziri wa Kilimo, Stephen Wasira, Naibu Waziri wa Mawasiliano, January Makamba na mbunge wa Sengerema William Ngeleja.

No comments:

Powered by Blogger.