.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
jijini Windhoek Namibia ambapo walihudhuria sherehe za kuapishwa Rais
mpya wa Namibia.
.jpg) |
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na Rais Uhuru
Kenyatta wa Kenya katika Hoteli ya Safari Court jijini Windhoek Namibia
jana. |
.jpg) |
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan
Mwinyi(kulia) na Benjamin William Mkapa(kushoto) katika uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Hosea Kutako jijini Windhoek Namibia leo.Viongozi hao
walihudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 25 ya Uhuru wa Namibia
ambapo pia Rais wa awamu ya tatu wa
Namibia Dkt.Hage Geingob aliapishwa katika uwanja wa Independence
jijini Windhoek.Chama cha ukombozi cha Namibia SWAPO kilizaliwa nchini
Tanzania na kuendesha harakati za ukombozi mpaka mwaka 1990 ambapo nchi
hiyo ilipata uhuru. Picha na Freddy Maro. |
No comments:
Post a Comment