TOTAL TANZANAIA LIMITED NA SATF WATOA MSAADA WA MADAWATI 1000 KWA SHULE ZA TEMEKE
Mkuu wa mkoa wa
Dar es Salaam, Sadick Meck Sadick akimkabidhi madawati 1000 Mkurugenzi wa
Manispaa ya Temeke. Madawati hayo ni msaada uliotolewa na kampuni ya mafuta ya
TOTAL Tanzania Limited wakishirikiana na shirika la SATF(Social Action Trust
Fund). Msaada huo uliratibiwa na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)
Wanafunzi wa
shule ya msingi Chamazi wakishangilia msaada wa madawati uliotolewa na Kamuni
ya TOTAL Tanzania Limited na SATF. Katika picha, mkuu wa mkoa Sadick Meck
Sadick (Katikati) akiwa amekaa na mkrugenzi mkuu wa kampuni ya TOTAL Tanzania
Limited(Kushoto) na Muwakilishi wa SATF (Kulia)
Mkuu wa mkoa wa
Dar es Salaam, akiwa amekaa na Mkurugenzi mkuu wa TEA, na mkurugenzi mkuu wa
TOTAL katika moja ya madawati ya msaada kutoka TOTAL Tanzania Limited na SATF.
No comments:
Post a Comment