TEN/MET, CWT WAADHIMISHA SIKU YA WALIMU DUNIANI
Mratibu
wa Uhakiki wa Ubora wa Elimu kutoka Shirika la Kijamii la Masuala ya Elimu (Haki
Elimu), Robert Mihayo akitoa mada kuhusu Ubora wa Elimu Tanzania wakati wa semina
ya maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Semina hiyo iliandaliwa na TENMET kwa kushirikiana na Chama Cha Walimu Tanzania
(CWT).
Mratibu
wa Uhakiki wa Ubora wa Elimu kutoka Shirika la Kijamii la Masuala ya Elimu (Haki
Elimu), Robert Mihayo akitoa mada kuhusu Ubora wa Elimu Tanzania wakati wa semina
ya maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Semina hiyo iliandaliwa na TEN/MET kwa kushirikiana na Chama Cha Walimu Tanzania
(CWT).
Ofisa
Mradi wa TEN/MET, Alistidia Kamugisha (kulia), Meneja wa Fedha na
Utawala (TEN/MET), Beatrice Malya (katikati) na Mratibu wa TEN/MET,
Cathleene Sekwao.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
No comments:
Post a Comment