MKUTANO WA MWAKA WA JET WAFANYIKA DAR
.jpg)
Mkurugenzi
Mtendaji wa JET, John Chikomo akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya
uendeshaji wa chama cha waandishi wa habari za mazingira kwenye mkutano
huo..jpg)
.jpg)
Baadhi
ya viongozi wa chama cha waandishi wa habari za mazingira JET katika
mkutano wa mwaka wa chama hicho ulioganyika jijini Dar Es Salaam, kutoka
kushoto ni Mkurugenxi Mtendaji wa JET John Chikomo, Mwenyekiti wa JET
Johnson Mbwambo, Katibu Mtendaji wa JET Chris Rweyemamu na Makamu
Mwenyekiti wa JET Aisha Dachi.
Baadhi
ya waandishi wa habari za mazingira ambao pia ni wanachama wa JET na
wajumbe wa mkutano huo wakiwa katika majadiliano wakati mkutano
ukiendelea jijini Dar Es Salaam.
.jpg)
Baadhi
ya wajumbe waliohudhuria mkutano huo wakiwemo waandishi wa habari za
mazingira kutoka mikoa mbalimbali nchini ambao ni wananchama wa JET
wakipitia nyaraka mbalimbali za mkutano huo (picha zote na Vedasto
Msungu wa JET)
No comments:
Post a Comment