MADABIDA AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA ILALA

Baadhi ya viongozi wa CCM wilaya ya Ilala wakiwa na mgeni rasmi Alhaji Ramadhan Madabida.

Baadhi
ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala ambao ni wajumbe
wa Jumuiya ya Wazazi ya chama hicho Wilaya ya Ilala wakifuatilia baadhi
ya hotuba zilizokuwa zikiwasilishwa katika mkutano huo.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa jumuiya ya wazazi ya ccm wilaya ya ilala.

Mwenyekiti
wa ccm mkoa wa Dar Es Salaam Ramadhan Madabida akiingia Ukumbini
kufungua mkutano wa jumuiya ya wazazi ya ccm wilaya ya ilala.
No comments:
Post a Comment