BONDIA IMANI DAUD AMSAMBARATISHA HAMADUU MWALIMU KWA POINT
Bondia Imani Daud kushoto akipambana na Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo
wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita tandika Dar es salaam Daud
alishinda kwa pointi katika mpambano huo wa raundi sita.
Bondia Hamaduu Mwalimu akimrushia
konde Imani Daud wakati wa mchezo wao uliofanyika Tandika Dar es salaa
Daud alishinda kwa point .
No comments:
Post a Comment