Benki ya Exim katika Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014

Mkuu
wa matawi wa Benki ya Exim Tanzania, Bi. Agnes Kaganda (mwenye fulana nyeupe)akiwapa somo
wafanyabiashara wadogo juu ya umuhimu wa kutumia huduma za kifedha na kibenki
ili kukuza biashara zao wakati wa Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014
iliyoandaliwa na kampuni ya Nuebrand iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Mfanyakazi wa kitengo cha mauzo wa Benki ya Exim akizungumza na wateja juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki hiyo wakati wa Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014
iliyoandaliwa na kampuni ya Nuebrand iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Wafanyakazi wa kitengo cha mauzo wa Benki ya Exim wakizungumza na wateja juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki hiyo wakati wa Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014
iliyoandaliwa na kampuni ya Nuebrand iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam hivi karibuni
No comments:
Post a Comment