Header Ads

Ajali nyingine mbaya sana ya basi yaua makumi, Gairo ni ya bus la AIRBUS lilikuwa linatoka DAR kwenda TABORA

Basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam leo kuelekea Tabora limepinduka katika maeneo ya maeneo ya Kiegeya Gairo.Shughuli za uokozi zikiendelea muda mfupi uliopita
Haijulikani idadi kamili ya watu waliopoteza maisha lakini ni wengi na wengine wamejeruhiwa vibaya sanaaaaaaa!!

“Picha hazifai kuonwa na mimi niko eneo la tukio kwa ajili ya uokozi..viongozi mbali mbali wa serikali tunao hapa..kwakweli ni majonzi vilio nk,” ameandika shuhudu mmoja. Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana mara moja
 





No comments:

Powered by Blogger.