Header Ads

KICHUPA KIPYA : VICTORIA KIMANI – PROKOTO Ft. DIAMOND PLATNUMZ, OMMY DIMPOZ [Official Video]

Victoria Kimani - Prokoto

Diva wa Chocolate City, Victoria Kimani ameachia video yake
mpya ”Prokoto”  akiwa amevishirkisha vichwa viwili hatari vinavyoutendea
haki muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz na swahiba wake Diamond
Platnumz ambayo imeongozwa na Dairekta  ‘Kevin Bosco Jr’.  Itazame Kwa
Mara ya kwanza hapo chini…

No comments:

Powered by Blogger.