Header Ads

BREAKING NEWS: BASI LA HOOD LAUA WATANO ARUSHA


Ajali iliyohusisha basi la HOOD na daladala maeneo ya Usa River mkoani Arusha muda huu...Ambapo dereva wa dala dala kafariki hapo hapo

Watu 5 wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi hii, wengi wajeruhiwa. Taarifa zaidi baadaye

No comments:

Powered by Blogger.