BONDIA THOMAS MASHALI KUMKABILA HENRY WANDERA WA KENYA NOVEMBA 4 TANDALE
Bondia Thomas Mashali katikati
akisaini mkataba wa kucheza na Henry Wandera kutoka Kenya Novemba 4
katika ukumbi wa New Madiba 'Korini' uliopo Tandale Dar es salaam
wanaoshudia kushoto ni Raisi wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini
TPBO, Yassini Abdallah 'Ostadhi' na promota wa mpambano huo Khamis Ally
picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Rais wa TPBO Yassin Abdala akiandika
mkataba wa bondia Thomas Mashali katikati atakaepambana na mkenya Henry
Wandera Novemba 4 katika ukumbi wa New Madiba 'Korini' uliopo Tandale
Dar
es salaam kulia ni promota wa mpambano
huo Khamis Ally picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
| Bondia Thomas Mashali katikati akisaini mkataba wa
kucheza na Henry Wandera kutoka Kenya Novemba 4 katika ukumbi wa New
Madiba 'Korini' uliopo Tandale Dar es salaam wanaoshudia kushoto ni
Raisi wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO, Yassini Abdallah
'Ostadhi' na promota wa mpambano huo Khamis Ally picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment