Baadhi ya viongozi na wanachama wa bodaboda wakiwa katika mazungumzo na wanahabari.
Katibu Bw.Daudi Hauliani akisoma tamko mbele ya waandishi wa habari.
Mwenyekiti Bw. Said Chenja akizungumzia msimamo wao.
Waandishi wa habari wakisikiliza tamko la chama cha madereva wa bodaboda.
Mjumbe wa kamati ya wanabodaboda, Bw. Oscar akisisitiza jambo kwa wanahabari.
Kamati ya bodaboda ikijadili jambo nje ya Ukumbi wa Habari Maelezo- Posta.
kwa maelezo zaidi tembelea www.globalpublishers.info
Na Gabriel Ng’osha/GPL
Kamati ya madereva wa bodaboda jijini Dar es Salaam iliyokuwa na
wajumbe kadhaa, leo imefanya mkutano na waandishi wa vyombo mbalimbali
vya habari katika Ukumbi wa Habari Maelezo-Posta ambapo umetoa tamko la
kuitaka serikali kuwaruhusu kuingia katikati ya jiji vinginevyo madereva
wote wataandamana.
KAMATI YA BODABODA DAR YATOA TAMKO KUZUIWA KUINGIA MJINI
Reviewed by
crispaseve
on
11:58 PM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment