Jumuiya ya Watanzania waliosoma Korea (KOICA/KAAT) yapata uongozi mpya
Rais Mpya wa Jumuiya ya
Watanzania waliosoma Korea (KAAT), Bw. Stephen Katemba (Kulia) akizungumza mara
baada ya kuchaguliwa. Anayemsikiliza ni Mwakilishi Mkazi wa KOICA, Bw.
Seung-Beom Kim (Kushoto).
Viongozi wapya KAAT na viongozi
wa zamani wakipongezana mara baada ya uchaguzi huo.
Makamu wa Rais wa KAAT aliyemaliza
muda wake, Bibi Margaret Alfanies (Katikati) akizungumza machache mara baada ya
kumalizika kwa uchaguzi huo. Kushoto ni aliyekuwa Muweka Hazina wa KAAT, Bibi
Emilia Maingu na kulia ni Bw. Stephen Matee ambaye ni Muweka Hazina mpya.
Makamu wa Rais wa KAAT aliyemaliza
muda wake, Bibi Margaret Alfanies (Wapili Kulia) akikabidhi nyaraka za KAAT kwa
uongozi mpya. Kutoka kushoto pichani ni Bw. Emmanuel Burton (Makamu wa Rais, Tanzania
Bara), Bw. Bukheti Juma (Wapili kushoto) ambaye ni Makamu wa Rais, KAAT
(Zanzibar). Wengine ni Rais Mpya Bw. Stephen Katemba (Katikati) na Bw. Stephen Matee
(Kulia)ambaye ni Muweka Hazina mpya.
Uongozi mpya wa KAAT
wakizungumza na Mwakilishi Mkazi wa KOICA, Bw. Seung-Beom Kim (Wapili kulia).
Wakiwa katika picha ya pamoja
ni uongozi mpya wa KAAT na baadhi ya viongozi wa zamani wa Jumuiya hiyo.
No comments:
Post a Comment