CHRIS BROWN AIBUKA NA MTINDO MPYA WA NYWELE
Baada ya kumwagana na laaziz wake na kumaliza bifu na
Drake, msanii nyota wa muziki wa R&B Duniani, Chris Brown, ameamua
kuja na mtindo mpya wa nywele uliowahi kubamba enzi za vita kuu ya pili
ya Dunia.
Mkali huyo wa kibao cha Loyal alitumia ukurasa wake wa Instagram kuwaonyesha mashabiki staili mpya ya nywele zake. ”Taking it back to the 30s! Lol!” aliandika Chris Brown.
Mtindo huo wa nywele umeonekana kuwabamba mastaa wengi, kwani ukimtoa Chris Brow, Staa mwingine ni Adrian Marcel. Mcheki hapo chini.


No comments:
Post a Comment