BALOZI MERO AWAANDALIA FUTARI WATANZANIA GENEVA
Balozi
wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Geneva, Mhe. Modest
Mero (kanzu jeupe) akila futari pamoja na wageni wake mbalimbali
wakiwepo watanzania waishio Geneva katika futari maalum aliyowaandalia
nyumbani kwake jana.
wageni mbalimbali wakijipakulia futari hiyo katika makazi ya Balozi.


No comments:
Post a Comment