Mstahiki Meya wa Ilala Mhe Jerry Slaa aandaa futari kwa wadau mbalimbali
Waalikwa
wakipakua futari iliyoandaliwa na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa
katika ukumbi wa Arnatouglou jijini Dar es salaam siku ya Jumanne Julai
22, 2014 ambapo wadau kutoka sehemu mbalimbali walihudhuria.
Kina mama walikuwepo pia
Wadau mbalimbali walihudhuria
Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akitoa neno la shukurani
Mstahiki Meya wa Ilala alitoa zawadi kwa kila mgeni aliyealikwa.





No comments:
Post a Comment