Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri
Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua madaraja ya kijeshi yakiwemo
yale ya kuelea juu ya maji wakati alipokagua zana za kijeshi jana, Jumatatu,
Machi 2, mwaka huu, 2014. (Picha na Freddy Maro wa Ikulu).
No comments:
Post a Comment