Picha Mbalimbali Kutoka Bunge La Katiba Mjini Dodoma Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta
na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, James Mbatia kwenye ukumbi wa
bunge Mjini Dodoma Machi 7,2014.

Mwenyekiti
wa Kamati ya Kumshauri Mwenyekiti kuhusu Kanuni za Bunge Maalum la
Katiba, Profesa Costa Mahalu (kulia) akiteta na wajumbe wa kamati hiyo
Bungeni Mjini Dodoma baada ya Semina ya Wabunge wa Bunge Maalum la
Katiba kuahirishwa Machi 7, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment