MVUA HAIKUMZUIA MGOMBEA WA CCM KUENDELEA NA KAMPENI KALENGA
Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa na wafuasi wa CCM, huku wakinyeshewa mvua
katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Wenda, Kata ya
Mseke, Iringa Vijijini leo. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa akisalimiana na wafuasi wa chama hicho alipokuwa akiondoka baada ya kumalizika mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Wenda, Kata ya Mseke, Iringa Vijijini
Mgimwa akijipigia chapuo ya kura katika Kijiji cha Sadani, Kata ya Mseke leo.
Mfuasi wa CCM akishangilia wakati Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Tanangozi, Kata ya Mseke, Iringa Vijijini jana.
Mgimwa akiwapungia wananchi huku akiwa amebebwa katika Kijiji cha
Tanangozi, Kata ya Mseke, Iringa Vijijini leo wakati wa kampeni za
uchaguzi wa Jimbo la Kalenga.
Mfuasi wa CCM akishangilia huku akiwa na mtoto mgongoni wakati Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Tanangozi, Kata ya Mseke, Iringa Vijijini
Furaha ya wananchi kwa mbunge wao mtarajiwa wa Kalnga ilikuwa ni kumbeba.
Wananchi wakisikiliza hotuba ya Mgimwa alipokuwa akijinadi katika mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Wenda, ambao licha ya kutawaliwa na mvua ulifana.
Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa akisalimiana na wafuasi wa chama hicho alipokuwa akiondoka baada ya kumalizika mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Wenda, Kata ya Mseke, Iringa Vijijini
| Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Joyce Msambatavangu akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, kupitia CCM, Godfrey Mgimwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Wenda. |
| Mgimwa akihutubia na kuwaomba kura wananchi katika mkutano wa kahmpeni ambao ulitawaliwa na mvua kubwa katika Kijiji cha Wenda. |
| Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Joyce Msambatavangu akihutubia kwa kumnadi Mgimwa katika Kijiji cha Sani, Kata ya Mseke leo |
Mfuasi wa CCM akishangilia wakati Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Tanangozi, Kata ya Mseke, Iringa Vijijini jana.
| Msanii wa muziki na filamu Ummy Wenslaus "Dokii' akicheza na mama wa kimasai wakati wa kampeni za kumnadi Mgimwa katika Kijiji cha Tanangozi, Kata ya Mseke leo jioni |
Mfuasi wa CCM akishangilia huku akiwa na mtoto mgongoni wakati Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Tanangozi, Kata ya Mseke, Iringa Vijijini
Furaha ya wananchi kwa mbunge wao mtarajiwa wa Kalnga ilikuwa ni kumbeba.
Wananchi wakisikiliza hotuba ya Mgimwa alipokuwa akijinadi katika mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Wenda, ambao licha ya kutawaliwa na mvua ulifana.
No comments:
Post a Comment