KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA ZAZIDI KUSHIKA KASI,CCM YAJITABIRIA KUNYAKUA JIMBO.
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha
CCM,Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wananchi/Wanakijiji wa kijiji
cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini mapema leo
jioni,alipokwenda kuzungumza nao na kuomba ridhaa yao ya kuwaongoza kama
Mbunge.
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha
CCM,Godfrey Mgimwa akipeana mikono na baadhi ya Wazee wa kijiji cha
Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini mapema leo
jioni,alipokwenda kuzungumza nao kwenye mkutano wake wa hadhara katika
suala zima la kuomba kura na kupata ridhaa ya wanakijiji hao kuongozwa
na yeye akishinda kiti hicho cha Ubunge wa jimbo la Kalenga.
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha
CCM,Godfrey Mgimwa akiteta jambo na baadhi ya Wazee wa kijiji cha Ilala
Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa Vijijini mapema leo
jioni,alipokwenda kuzungumza nao kwenye mkutano wake wa hadhara katika
suala zima la kuomba kura na kupata ridhaa ya wanakijiji hao kuongozwa
na yeye akishinda kiti hicho cha Ubunge wa jimbo la Kalenga.
Baadhi
ya Wazee wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa
Vijijini,wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ya uchaguzi mdogo
wa jimbo la Kalenga mapema leo jioni.
Baadhi
ya Wazee wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa
Vijijini,wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ya uchaguzi mdogo
wa jimbo la Kalenga mapema leo jioni.
Wanachama
wa chama cha CCM na wananchi wakishangilia jambo wakati wa mkutano wa
hadhara uliofanywa na CCM mapema leo jioni,ambapo mgombea wa chama
hicho,Godfrey Mgimwa alifika na kujinadi kuomba kura na ridhaa ya
kuongoza jimbo hilo.
Naibu
Meya wa Manispaa ya Iringa,Mh.Gervas Ndaki akiwa amepiga magoti
ikiashiria kutoa heshima kwa wananchi kwa ajili ya kuwaomba kura kwa
ajili ya Mgombea wa CCM,kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika
kijiji cha Ilala Simba kata ya Nzihi mkoani humo

No comments:
Post a Comment