GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI KATIKA VIJIJI VYA MIBIKIMITALI,MFUKULEMBE NA KIBENA
Mgombea
ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey
Mgimwa akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Mibikimitali Kata ya Ifunda
katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa leo ambapo amewaomba kumuamini na
kumpa kura zote za ndiyo katika uchaguzi utaotarajiwa kufanyika jumapili
machi 16 mwaka huu.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE -KALENGA)
Mgombea
ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey
Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Mibikimitali leo vs
Wananchi
wa kijiji cha Kibena katika jimbo la Kalenga wakimsikiliza Mgombea
ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey
Mgimwa hayupo pichani wakati akihutubia mkutano huo.
Wananchi
wakijadili jambo wakati wakimsikiliza Mgombea ubunge wa jimbo la
Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa.
Biashara
zikiendelea huku wananchi wakimsikiliza Mgombea ubunge wa jimbo la
Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwa
Bw. Mwampamba akimuombea kura mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa.
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu akimuombea kura mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa.
Wananchi
wakipunga mikono kuashiria kumkubali mgombea wa mgombea ubunge wa jimbo
la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa.
Wananchi
wakipunga mikono kuashiria kumkubali mgombea wa mgombea ubunge wa jimbo
la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa
No comments:
Post a Comment