Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwaonesha Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kitabu cha CCM kinachohusu Kanuni za Uongozi na Maadili,alipozungumza nao kwenye moja ya ukumbi wa Ofisi za Chama hicho zilizopo Lumumba jijini Dar.
CCM YATOA ONYO KALI KWA WANAOFANYA KAMPENI KABLA YA MUDA NDANI YA CHAMA HICHO.
Reviewed by
crispaseve
on
10:22 PM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment