Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema atagombea uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba kwa sababu anaamini kuwa ana sifa za kutosha kutimiza ndoto ya Rais Jakaya Kikwete ya kuhakikisha watanzania wanapata Katiba bora
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
--
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema
atagombea uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba kwa sababu anaamini kuwa
ana sifa za kutosha.
Hii ni mara ya kwanza kwa Sitta ambaye alikuwa
Spika wa Bunge la Tisa kuweka wazi uamuzi wake huo. Mwingine anayetajwa
ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani na Mbunge wa Bariadi Magharibi
(CCM), Andrew Chenge.
Sifa za mtu anayepaswa kuongoza Bunge hilo ni kuwa
na shahada ya sheria kutoka katika chuo kinachotambulika pia kuwa na
uzoefu wa kuendesha mijadala kama ya Bunge.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea........
No comments:
Post a Comment