PICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS(IKULU):MAKAMU WA RAIS DKT.GHARIB BILAL AKUTANA NA KAIMU KAMISHNA WA TRA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Kaimu Kamishna Jenerali wa TRA, Risherd Badei, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 18, 2014 kwa mazungumzo.

No comments:
Post a Comment