Header Ads

CHADEMA WAZINDUA RASMI KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA



makumbusho_a0aac.jpg

Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakielekea kwenye makumbusho ya Chifu mkwawa kabla ya kuanza kampeni hizo

mvua_6aa63.jpg

Hapa wakitoka kwenye Makumbusho ya Chifu Mkwawa huku hali ya hewa ikiwa ni ya ubishi kutokana na mvua kubwa kunyesha.
kumnadii_f8eb3.jpg
Mgombea wa Ubunge kupitia chama cha CHADEMA Grace Tendega Mvanda akinadiwa na Katibu mkuu wa chama hicho Dr. W. Slaa wakati wa kampeni hizo zilizoanza hii leo katika jimbo la Kalenga.

No comments:

Powered by Blogger.