Waziri
wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza, Justine Greening (kushoto)
akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Robin Goetzche (kulia) alipotembelea Makao Makuu ya kampuni hiyo, Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki, ambapo walizungumzia tatizo la maji na jinsi
ya kusaidia kulitatua.
Waziri
wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza, Justine Greening (kushoto)
akisalimiana na Waziri wa Jumanne Magembe wakati wa ziara yake Makao
Makuu ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki,
ambapo walizungumzia tatizo la maji na jinsi ya kusaidia
kulitatua.PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Goetzche (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Maji, Profesa Maghembe
Goetzche akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Bashir Mrindoko
Waziri
wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza, Justine Greening akiongoza na
Meneja Udhibiti wa Viwango wa TBL, Conchesta Ngaiza alipotembelea
kampuni hiyo.
Ujumbe alioongozana nao Waziri Greening ukitembelea Makao Makuu ya TBL.
Waziri Greening akipata maelezo kuhusu uzalishaji wa bia kwa njia ya kisasa alipotembelea kampuni ya TBL.
MD wa TBL, Goetzche (kulia) akitelezea kuhusu utendaji wa kiwanda cha TBL mbele ya Greening na Profesa Maghembe
Greening akiangalia shayiri inayotumika kutengenezea bia TBL
Greening (kulia) na ujumbe wake wakiwa katika mkutano wa kujadili tatizo la maji
Waziri
wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe (kulia), akielezea tatizo la nchini
mbele ya Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza, Justine
Greening.Uingereza inasaidia kupunguza tatizo la maji nchini.
Justine Greening akielezea jinsi serikali yake ilivyojizatiti kusaidia kupunguza tatizo la maji
Greening akinywa bia aina ya Castle Lite inayozalishwa na TBL
Greening akiwa katika picha ya pamoja na Profesa Mghembe (kulia) na baadhi ya viongozi wa TBL
Greenini akihojiwa na wanahabari
Profesa Mghembe akihojiwa na wanahabari baada ya ziara hiyo kumalizika
No comments:
Post a Comment