WADAU WA UDOM WALIPOTUNUKIWA NONDOZ ZAO MWISHO MWA WIKI KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM
Wahitimu
wa Shahada mbalimbali kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa katika
picha ya Pamoja mara baada ya kutunukiwa shahada zao Mwisho mwa wiki
katika mahafali ya nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika
katika Viwanja vya Chimwaga.Kutoka Kushoto ni Mdau Isabela, Hashim,
Hashim Mzule na Rafiki yao wakiwa na furaha mara baada ya kuhitimu
masomo yao ya shahada ya kwanza
Kutoka
Kushoto ni Victor Mengi akiwa na rafiki yake (katikati) na Josephat
Mwanaziche mara baada ya kutunukiwa shahada zao katika mahafali ya nne
ya chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika mwishoni mwa wiki chuoni
hapo
Wahitimu
wa shahada mbalimbali wakijipongeza mara baada ya kuhitimu rasmi safari
yao ya masomo ya shahada za kwanza ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) mara
baada ya kutunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki
Happy
Mengi (katikati) akifungua shampeni pamoja na wadogo zake waliohitimu
masomo yao ya Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
wakati wa tafrija fupi ya kuwapongeza. Kutoka Kushoto ni Mariam na Wa
Kwanza kulia ni Victor Mengi
Wahitimu
wakikata Keki wakati wa tafrija fupi ya kuwapongeza wahitimu hao
waliotunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki katika mahafali ya nne ya
Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika katika viwanja vya chimwaga
mkoani Dodoma
No comments:
Post a Comment