Rais Kikwete arejea Dar es Salaam awaapisha Makamisha wa Tume ya Utumishi wa Mahakama

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Makamishna wawili wa
Tume ya utumishi wa Mahakama katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini
Dar es Salaam leo.Walioapishwa katika hafla hiyo ni Dkt.Angelo
Mtitu Mapunda na Mhe.Georgina Mulebya.Pichani Makishna hao Dkt.Angelo
Mtitu Mapunda na Mhe.Georgina Mulebya wakila kiapo mbele ya Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Picha na Freddy Maro.

No comments:
Post a Comment