Naibu
Waziri wa Fedha na Uchumi ,Mh. Janet Mbene (Kulia) akimkabidhi tuzo na
cheti Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bw. Mark H. Wiessing baada ya benki ya
NMB kuibuka mshindi kwa watoaji kodi wakubwa kwenye sekta ya huduma za
kifedha, pia matawi ya NMB Mwenge na NMB Chakechake-Pemba yameshinda
vyeti kama matawi yanayotoa msaada kwa walipa kodi wa wilaya ya
Kinondoni na Chakechake.Tuzo hizo zimetolea katika maadhimisho ya 7 ya
siku ya mlipa kodi yaliyofanyika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam.
NMB MLIPA KODI BORA KWA MWAKA 2013
Reviewed by
crispaseve
on
12:10 PM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment