Wadau wa habari aliohudhuria hafla hiyo jijini Mwanza leo
 |
Mgeni
rasmi katika hafla hiyo ya kukabidhi tuzo ya Daudi Mwangosi Bw Tido
Mhando wa tatu kulia akimkabidhi mshindi mfano wa hundi ya Tsh
milioni 10 Absalom Kibanda tuzo yenye thamani ya Tsh milioni 10,0000
katikati ni mjane wa Mwangosi Itika Mwangosi wa kwanza kushoto ni
makamu wa rais wa UTPC Jane Mihanji na rais wake Keneth Simbaya.
Na Abdulaziz video,Mwanza
Mhariri mtendaji wa Kampuni ya New Habari Absalom Kibanda leo amekabidhiwa tuzo ya Uandishi wa kishujaa na Utumishi uliotukuka ya Marehemu Daud Mwangosi baada ya Mhariri huyo kukumbwa na tukio la uvamizi na kisha kutobolewa jicho na watu wasiofahamika Machi 6 mwaka huu. Kabla
ya makabidhiano ya tuzo hiyo wadau wote wa habari wakasimama na kisha
kuimba wimbo maalumu wa kumuenzi Marehemu Daud Mwangosi.
|
No comments:
Post a Comment