MAMBO SASA YAMEANZA MTIHANI KIDATO CHA NNE
Wanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Sandari iliyopo
Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, wakijisomea baada ya kumaliza
mtihani wa Jografia ikiwa ni maandalizi ya kufanya mtihani wa Kiingereza
Dar es Salaam. Wanafunzi wa kidato cha nne kote nchini wameanza
jana kufanya mtihani wa
kitaifa ambapo wanatarajia kumaliza Novemba 21 mwaka huu. (PICHA NA
DOTTO MWAIBALE)
No comments:
Post a Comment